Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
hili gazeti, ni kama la udaku tu..... limekaa ki shigongo shigongo tu
habari kama hii sio ya kuweka front page, kuna mengi ya muhimu wangeweka hapo ingekua safi
bosco makoi like this
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili gazeti, ni kama la udaku tu..... limekaa ki shigongo shigongo tu
habari kama hii sio ya kuweka front page, kuna mengi ya muhimu wangeweka hapo ingekua safi
sasa naanza kuamini hili gazeti ni la udaku kabisa. Vipi na hapo kushoto juu "kikwete apingana na werema KULA ya maoni"??
Mumeooo nini?!?!!!
Mie mwanzoni nilijua ni la udaku.........,
ulitaka angolee hilo?
![]()
si la udaku kwakua hawajaliweka kwenye kundi la magazeti ya udaku, ila kiu harisia ni la kidaku 100%
CAN U ALL F.U.C.K.E.N People, Stop Talking About that F.U.C.K.E.N diamond Boy, We are All F.U.C.K.E.N tired of Hearing is .F.U.C.K.E.N name, all the F.U.C.K.E.N time, I think iam going mental any F.U.C.K.E.N time now, if i hear that .F.U.C.K.E.N #shitt about Leaders AGain, Ya'll .F.u.c.k.e.n. People Need to Grow Some F.u.C.k.E.N balls and tell the boy Face to Face, instead of using .F.U.C.K.E.N. Fake ID. I think ya'all F.u.c.k.e.n. jealous or somethin'...!For F.u.c.k.Sake...#iam ..f.u.c.k.e.n..outchea
Mumeooo nini?!?!!!
Zomea sio mchezo, kama ingekuwa wewe ungeongea bini unadhani kama sio kujificha ukisikilizia mwangwi wa zomea zomea
Madai yako we ni mzungu hahah..umejaza faken za kutosha uonekane lugha inapanda asa kumbe hujui mtindo wa lugha unaoutumia hutumiwa na maombaomba wa kule marekani...watu wenye status zao huwa hawatumii style hii....
Acha ulimbukeni badilika k ww

sasa ataongea nini
umeazima akili karudishe chukua yako