Hongera Diamond kwa ukimya

sasa naanza kuamini hili gazeti ni la udaku kabisa. Vipi na hapo kushoto juu "kikwete apingana na werema KULA ya maoni"??

naona walikuwa wanakimbilia kutoa taarifa za diamond, kha!
 
Nampenda Dimondi(Diamond) mpaka nahis kikohozi....
1) ni performer mzuri
2)ni muimbaji
3)Entertainer
4)Anajua kuvaa(he got that sense if style
5Anajua kucheza na hisia za mashabiki
6Al in all anarespect sana kwa watu ukitoa mambo madogomadogo ambayo yanasababishwa na ujana
 
CAN U ALL F.U.C.K.E.N People, Stop Talking About that F.U.C.K.E.N diamond Boy, We are All F.U.C.K.E.N tired of Hearing is .F.U.C.K.E.N name, all the F.U.C.K.E.N time, I think iam going mental any F.U.C.K.E.N time now, if i hear that .F.U.C.K.E.N #shitt about Leaders AGain, Ya'll .F.u.c.k.e.n. People Need to Grow Some F.u.C.k.E.N balls and tell the boy Face to Face, instead of using .F.U.C.K.E.N. Fake ID. I think ya'all F.u.c.k.e.n. jealous or somethin'...!For F.u.c.k.Sake...#iam ..f.u.c.k.e.n..outchea
 
Madai yako we ni mzungu hahah..umejaza faken za kutosha uonekane lugha inapanda asa kumbe hujui mtindo wa lugha unaoutumia hutumiwa na maombaomba wa kule marekani...watu wenye status zao huwa hawatumii style hii....
Acha ulimbukeni badilika k ww
 
Zomea sio mchezo, kama ingekuwa wewe ungeongea bini unadhani kama sio kujificha ukisikilizia mwangwi wa zomea zomea
 
Madai yako we ni mzungu hahah..umejaza faken za kutosha uonekane lugha inapanda asa kumbe hujui mtindo wa lugha unaoutumia hutumiwa na maombaomba wa kule marekani...watu wenye status zao huwa hawatumii style hii....
Acha ulimbukeni badilika k ww

hahhahahah noumer
 
Umetisha mdau, ameelewa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…