Hongera Diamond na Neyo!!!!!

Diamond ni balaa na wakubali tu huyu jamaa ni the best in tz na anafikiria kazi yake iwe ya kimataifa zaidi na ndiyo stage aliko kwa sasa wacha wajinga waseme lkn ukweli wanaujua
 
Kuna watu watapotea hapa wiki nzima.
 
Wafitini ndivyo walivyo Mkuu, badala ya wao kujituma ili wawe na mafanikio makubwa kama ya DP au hata zaidi badala yake wanaanza fitina dhidi ya DP.
 
Kutoka dimpoz achafue hali ya hewa, vijana wa diamond wanaanzisha thread zaidi ya 10 kwa siku hhaahahahahhahaha. Dimpoz aligusapo pabaya
 
Mwaka mzima kiba amepata show moja nje ya Tz,tena baada ya kuchomekwa kama suprise artist Mombasa,baada ya hiyo anasubiri fiesta mwakani
 
Eti jamani!Hawa jamaa wanapenda kujifariji kwa mambo madogo sana.
Sio ajabu boss wao ameshapost huko Instagram
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tumeanza kuota ndoto za Grammy!

Basi hapo watoto wa kariakoo tunawakeraaaaa! Mnanunaaaaa, hamtupendiiiiiiiiii.. [emoji23]

# wcb # winners cycle [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…