Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti jamani!Hawa jamaa wanapenda kujifariji kwa mambo madogo sana.hongera ya nin sasa?
Kisa nini?Kuna watu watapotea hapa wiki nzima.
Goodmorning.... tusalimiane kwanza bas,,.Kisa nini?
Ooooopppsss good morning my dear.Goodmorning.... tusalimiane kwanza bas,,.
So what?Mwaka mzima kiba amepata show moja nje ya Tz,tena baada ya kuchomekwa kama suprise artist Mombasa,baada ya hiyo anasubiri fiesta mwakani
So what !!!!!!!!! Hiyo maana yake yeye ni wa hapa hapa.So what?
Eti jamani!Hawa jamaa wanapenda kujifariji kwa mambo madogo sana.
Sio ajabu boss wao ameshapost huko Instagram
[emoji23] [emoji23] [emoji23]