Hongera Diamond Platinumz

Namba 2 hapana (X)
Kwa haraka haraka nimeangalia:
*Lupita Nyong'o 3.3m
*Davido 3.1m
*Diamond 3m
Mbona wachache ivyo
tena tofauti na umaarufu walionao afrika.....
ina maana hili bara wanaotumia social network ni wachache ivyo
 
Kwa wasanii wanaofanya kazi zao ndani ya bara la afrika, Davido ni namba moja ana 3.1M, anafuata Diamond namba mbili akiwa na 3M. Huyo Lupita Nyongo kazi zake anafanyia nje ya Afrika kama walivyo akina Akon.
 
............

....................kampongezee instagram
JamiiForums ni jukwaa huru, pia linatambua uwepo wa Celebrities na ndio maana kukawa na Celebrities forum. Hivyo hapa ni mahali sahihi pa kumpongeza kijana huyu anayeonyesha juhudi za hali ya juu katika kukuza muziki wetu wa kitanzania.
 
muziki wa kitanzania ni upi?
 
Kiba nae ana followers wangapi?by the way nimekumbuka alisrma hapendi kiki na kujitangaza
 
Namba 2 hapana (X)
Kwa haraka haraka nimeangalia:
*Lupita Nyong'o 3.3m
*Davido 3.1m
*Diamond 3m
lupita
anafanya sana kazi zake nje, kiasi kwamba kwenye hesabu ya wa Africa hatumuorodheshi sana..
tatizo rangi ndo inatukwamisha...
ajichubue tu ,tujue moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…