Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Number 2 Africa, hongera
WambekeNamba 1 ni nani?
Namba 2 hapana (X)Number 2 Africa, hongera
Namba 1 ni nani?
Mbona wachache ivyoNamba 2 hapana (X)
Kwa haraka haraka nimeangalia:
*Lupita Nyong'o 3.3m
*Davido 3.1m
*Diamond 3m
mnamshabikia ili awakatie viuno 2020 pyeeeVizuri sana
Naona kwenye ule mpango wa matangazo kupitia followers
Itampatia kitita kizuri
magufuli kwa kura %84 fobes teheteheteheNamba 1 ni nani?
King kibaNamba 1 ni nani?
JamiiForums ni jukwaa huru, pia linatambua uwepo wa Celebrities na ndio maana kukawa na Celebrities forum. Hivyo hapa ni mahali sahihi pa kumpongeza kijana huyu anayeonyesha juhudi za hali ya juu katika kukuza muziki wetu wa kitanzania.............
....................kampongezee instagram
muziki wa kitanzania ni upi?JamiiForums ni jukwaa huru, pia linatambua uwepo wa Celebrities na ndio maana kukawa na Celebrities forum. Hivyo hapa ni mahali sahihi pa kumpongeza kijana huyu anayeonyesha juhudi za hali ya juu katika kukuza muziki wetu wa kitanzania.
Salomemuziki wa kitanzania ni upi?
lupitaNamba 2 hapana (X)
Kwa haraka haraka nimeangalia:
*Lupita Nyong'o 3.3m
*Davido 3.1m
*Diamond 3m
Anatengeneza Hela .... Uliza Makampuni ya Simu Yanajitangazaje... Au Google Ads...Youtube zinavyofanya kazi..What next?
Hehehe nina hasira za kuachwaDada, shida zako na mumeo usizilete hapa,hapa ni burudani tu.