Hongera Diamond Platnumz hakika wewe ni mfano wa kuigwa

Jamaa hapendi starehe yy ni kazi tu, anasave sana pesa na anasaidia watu" hongera chibu mfano wa msanii ambaye ni kioo cha jamii
 
Huyu kijana kila siku wanasema baba yake mgonjwa na anaomba misaada kwa watu,sasa je kamsaidia?asijekuwa anatafuta misifa kwenye mitandao huku ndugu zake wanaumia bila msaada wowote!
 
Swahiba umeandika jambo jema ndondondo si chururu kama mipango madhubuti inafanya nasi tunaweza Kuchangia sio tuishie kuchangia threads humu na likes za kumwaga.
 
Swahiba umeandika jambo jema ndondondo si chururu kama mipango madhubuti inafanya nasi tunaweza Kuchangia sio tuishie kuchangia threads humu na likes za kumwaga.
Hebu tujaribu kufanya pledges sisi wenyewe mimi nitatoa 20,000/=
 
Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa
msaada wa tsh 20 Milioni kwa ‘GSM Foundation’
kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo ya
kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye
vichwa vikubwa na mgongo wazi.
Kupitia ukurasa wake wa instagram GSM Foundation shukrani zao kwa diamond


Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya
Mifupa na Upasuaji (MOI) kutoka hospitali ya
Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na GSM
Foundation imekuwa ikizunguka katika mikoa
mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kutoa
huduma hiyo bila gharama yoyote.
 
safi sn kijana, unavyotoa ndivyo utavyozidi kupata na kufanikiwa,, big up babaTiffah.
 
well done baba Tiffah, Allah akuzidishie na akuongoze ktk kupata mafanikio zaidi, inshaallah.
 
Safi sana.
Hopefully zitafika kwa wanao stahili na wahuni hawataziiba.
 
Wapi team AJE...teh teh teh...Mapovuuuuu

Ivi akitajwa Diamond lazima jina linalofuata liwe Kiba?mbona vijana mnakua kama mna mtindio wa ubongo,kwa nini usingeuliza Belle9 au Fid Q au ungeuliza wasanii wengine duh kazi kweli kweli aiseeeee.
 
Huyu kijana kila siku wanasema baba yake mgonjwa na anaomba misaada kwa watu,sasa je kamsaidia?asijekuwa anatafuta misifa kwenye mitandao huku ndugu zake wanaumia bila msaada wowote!View attachment 378684
Sio sifa wala nini babake alimkana tangu tumboni na hayo ndo malipo anayostahili hapo wa kulaumiwa wala si diamond huyo baba alivomkataa alitegemea lipi asingemkana leo nae angekua anatumia tu
 
Pia anavyo fanya sherehe ya kuzaliwa mtoto wake na kutenga bajeti kubwa muache kumsimanga!

Haswa, watu nguo ya Tiffah walianza kulia eti angewapa wao waifanye mtaji ili waanzishe biashara. Hao hao wavivu kutwa wapo insta kufolo udaku, na sio hata kufolo akaunti za biashara au ushauri zitakazowaletea maendeleo na maisha mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…