mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Huyu kijana kila siku wanasema baba yake mgonjwa na anaomba misaada kwa watu,sasa je kamsaidia?asijekuwa anatafuta misifa kwenye mitandao huku ndugu zake wanaumia bila msaada wowote!View attachment 378684
Huyo baba yake unaamini kweli au ni tamaa ya kutaka kuwa juu ya kichwa chake hata umaneja...hata Diamond alisema ananunuliwa na wamagazeti kumchafua...huyo mzee anapewa chake..kama mtoto alishea nae baba huyo Diamond anamnunulia gari etc...huyo baba angekuea anateseka si hata mwanae wa kike huyo angeenda kuuuza gari na mengine ili ampeleke kwenye matibabu baba yake.
Muache kusikiliza udaku...ila ni bizuri hata akiwapa wa misaada pesa zaidi ya baba ake, sababu nae alipokuwa nazo alimtupa ateseke na mama yake.