Hongera Diamond Platnumz hakika wewe ni mfano wa kuigwa

Hongera Diamond Platnumz hakika wewe ni mfano wa kuigwa

Huyu kijana kila siku wanasema baba yake mgonjwa na anaomba misaada kwa watu,sasa je kamsaidia?asijekuwa anatafuta misifa kwenye mitandao huku ndugu zake wanaumia bila msaada wowote!View attachment 378684

Huyo baba yake unaamini kweli au ni tamaa ya kutaka kuwa juu ya kichwa chake hata umaneja...hata Diamond alisema ananunuliwa na wamagazeti kumchafua...huyo mzee anapewa chake..kama mtoto alishea nae baba huyo Diamond anamnunulia gari etc...huyo baba angekuea anateseka si hata mwanae wa kike huyo angeenda kuuuza gari na mengine ili ampeleke kwenye matibabu baba yake.

Muache kusikiliza udaku...ila ni bizuri hata akiwapa wa misaada pesa zaidi ya baba ake, sababu nae alipokuwa nazo alimtupa ateseke na mama yake.
 
Maskini Ali Kiba hata pesa ya kupanga hana, anaishi kwa Mama wakati wenzake wanadonate 20,000,000/=... Inasikitisha sana
 
Huyu kijana kila siku wanasema baba yake mgonjwa na anaomba misaada kwa watu,sasa je kamsaidia?asijekuwa anatafuta misifa kwenye mitandao huku ndugu zake wanaumia bila msaada wowote!View attachment 378684
Anacho kifanya baba diamond ni kujishushia heshima mwenyewe. Kununuliwa na magazeti Fulani ili amchafue mwanawe ni Ujinga.
 
Maskini Ali Kiba hata pesa ya kupanga hana, anaishi kwa Mama wakati wenzake wanadonate 20,000,000/=... Inasikitisha sana

ImageUploadedByJamiiForums1470943203.012703.jpg

Alishatoa 21Million,naona kila jambo nyie ligi duh idadi yetu wanaume inazidi kupungua maana tulizoe zamani kua watulivu bila vurumai za majungu kama leo.
 
wanaume wenzangu tuache umbeya alf mbona kiba alishatoa mil21000000 ila yeye tofauti na mond kiba hapendi kujitangaza ila GSM ndo wamepost
 
Mbona Kiba huo mkono wa kukabidhi cheki kauweka nyuma? wakati ndo ilitakiwa awe anakabidhi cheki kama alivyofanya Dai,

Poa,kama kweli hiyo taarifa imetoka gsm wenyewe hakuna shida.
 
Mbona Kiba huo mkono wa kukabidhi cheki kauweka nyuma? wakati ndo ilitakiwa awe anakabidhi cheki kama alivyofanya Dai,

Poa,kama kweli hiyo taarifa imetoka gsm wenyewe hakuna shida.

Swahiba uyo Kiba haja post hii habari sehemu yoyote labda afanye hivyo muda hii taarifa imetolewa na GSM na page za wanoko tu wa IG nadhani la msingi ni huo mpunga ndio tunautaka hiyo mikono hata angeweka kwenye mifuko ya suruali sio kesi na mimi ni unoko umenifanya nimjibu swahiba aliehoji kuhusu Alli.
 
Umeeleweka Mkuu
 
wanaume wenzangu tuache umbeya alf mbona kiba alishatoa mil21000000 ila yeye tofauti na mond kiba hapendi kujitangaza ila GSM ndo wamepost
Je ni kweli hapendi kujitangaza? Akiba ya maneno ni muhimu sana, Usiwa amini wanao itwa wasani Mkuu
 
Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa
msaada wa tsh 20 Milioni kwa ‘GSM Foundation’
kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo ya
kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye
vichwa vikubwa na mgongo wazi.
Kupitia ukurasa wake wa instagram GSM Foundation shukrani zao kwa diamond
View attachment 378908

Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya
Mifupa na Upasuaji (MOI) kutoka hospitali ya
Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na GSM
Foundation imekuwa ikizunguka katika mikoa
mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kutoa
huduma hiyo bila gharama yoyote.
nasikia kiba katoa 21m?ni kweli?
 
Back
Top Bottom