ahahahaMaskini Ali Kiba hata pesa ya kupanga hana, anaishi kwa Mama wakati wenzake wanadonate 20,000,000/=... Inasikitisha sana
uko sahihiTuache maskhara tutatuma kwa namba zitakazotumwa na Moderator kama wakiafiki hili wazo na si kwa yeyote mwingine
Taking everything personally and serious.. That shows who girlie is...Swahiba uyo Kiba haja post hii habari sehemu yoyote labda afanye hivyo muda hii taarifa imetolewa na GSM na page za wanoko tu wa IG nadhani la msingi ni huo mpunga ndio tunautaka hiyo mikono hata angeweka kwenye mifuko ya suruali sio kesi na mimi ni unoko umenifanya nimjibu swahiba aliehoji kuhusu Alli.
View attachment 379853
Alishatoa 21Million,naona kila jambo nyie ligi duh idadi yetu wanaume inazidi kupungua maana tulizoe zamani kua watulivu bila vurumai za majungu kama leo.
Kama ni mwanaume basi huna tofauti na KAOGE.Maskini Ali Kiba hata pesa ya kupanga hana, anaishi kwa Mama wakati wenzake wanadonate 20,000,000/=... Inasikitisha sana