Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

Si wote wanasumbuliwa na mimba,wengine unamkuta yupo tu na endelea na 50 zake
Ni siku hizi tu wanawake wamekuwa na maumbile ya mwendo kasi, maisha ya kuamka asubuhi mkate, butter, maziwa viko kwenye fridge, unachemsha maji unakunywa chai. Ninamkumbuka mama mmoja alizaa watoto 19 bila hata ceaser wala kisu. Mimba zote asubuhi anakwenda kutafuta kuni na kuchota maji.
 
kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Wanawake wanatofaitiana katika uwezo wa kubeba mimba. Wapo ambao ikiingia tu wanapata bed rest na wengine wanalima hadi siku ya kujigunfua. Mkeo siyo kipimo katika hilo, lete hoja nyingine.
 
Ndomo nae balaaaa baada ya mama ubaya kukosa mtoto jamaa naona anapiga hat trick ili aonekane kidume
 
Wanawake wanatofaitiana katika uwezo wa kubeba mimba. Wapo ambao ikiingia tu wanapata bed rest na wengine wanalima hadi siku ya kujigunfua. Mkeo siyo kipimo katika hilo, lete hoja nyingine.
Basi sawa
 
kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Zari yaonekana hatumii madawa ya uzazi wa mpango safi sana.Madawa yanaharibu sana kizazi
 
Safi sana,na uzuri wake watoto hawatopitia maisha aliyopitia Baba.
 
Mnajadili hadi mimba,sishangai mashoga wakimzidi kete mkuu maana ni wengi sasa
 
Duh toto langu lina miaka 3 sasa Lakini bado tunapiga ramli na mama chanja kuongeza namba, Hongereni kwa kujaza dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…