Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,946
- 1,800
Si wote wanasumbuliwa na mimba,wengine unamkuta yupo tu na endelea na 50 zakekwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?