Zarina weeee zaa tu sasa hivi atawatunza ila jiandae kuwa single parentdah mi nampongeza kwa kuamua kupata watoto kipindi hki ambacho anauwezo wa kuwalea, azae tu
Unaweza ukawa na shahawa za mtoto mmoja tuDuuu yamekua hayo ??? Mimi nimempa sifa tu Bi Zarina ,halafu sina kizazi nina shahawa karibu
Haina shida ninae mmoja ,ila tutest kwako nione kama nilikuwa na za huyo mmoja tuUnaweza ukawa na shahawa za mtoto mmoja tu
HahahahaHaina shida ninae mmoja ,ila tutest kwako nione kama nilikuwa na za huyo mmoja tu
Napita tu. Brother upo lakinihahahh mshikaji wangu alisemwa anazaa hovyo hazingatii uzazi wa mpango, leo kwa d sawa tuijaze dunia
nipo mkuu nasubiria serebuka festivalNapita tu. Brother upo lakini
Yaani hiyo avatar yako, nimekumbuka A journey to West enzi zile. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]anabidii
Kesho yako tu huijui itakuaje, ila miaka minne ya diamond ushaijua he he heeheee haloo ya DODOMAPole Zarina unajiingiza kwenye moto tandale!!! No future diamond pesa itaisha in only 3 to 4 years
Ha ha ha ha ha ha ha usinivunje mbavu mie, ha ha ha ha haluaWema nae anatarajia kunywa haluwa tena hapo mwezi wa 12
Evelyn Salt tutakuhamishia madale sasa!!Kesho yako tu huijui itakuaje, ila miaka minne ya diamond ushaijua he he heeheee haloo ya DODOMA
Ha ha ha ha na huko nitafit hatare make sina mdomo wala gubu kama la wifi esmaEvelyn Salt tutakuhamishia madale sasa!!
Bi Sandra na Esma watakuliza utakimbia mwenyewe! Evelyn SaltHa ha ha ha na huko nitafit hatare make sifa mdomo wala gubu kaja la wifi esma
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mambo ya shifooooooYaani hiyo avatar yako, nimekumbuka A journey to West enzi zile. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usinambie ushahamia Dar! Hallo ya Dodoma!.Kesho yako tu huijui itakuaje, ila miaka minne ya diamond ushaijua he he heeheee haloo ya DODOMA
Poa poa pamoja sananipo mkuu nasubiria serebuka festival
Acha hizo ndugu, kila MTU ana mwili tofauti na mwingine. Mama yangu alizaa watoto 14. Sasa ana miaka 85,mzima afya hana presha wala sukari. Kati ya hao 14 hakuna pacha hata uzao mmoja.kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?