Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

kwa Diamond kutaka mtoto mwingine ni sawa, ila kwa huyu mama ni kazi, nikifikiria mkewangu mimba 1 tu ilivyompa shida sasa huyu mimba zote hizo kwa mda mfupi anakuwa na hali gani?
Acha hizo ndugu, kila MTU ana mwili tofauti na mwingine. Mama yangu alizaa watoto 14. Sasa ana miaka 85,mzima afya hana presha wala sukari. Kati ya hao 14 hakuna pacha hata uzao mmoja.
 
Back
Top Bottom