Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

Hongera Diamond, tuendelee kuijaza dunia

jamani sio mfatiliaji sana wa haya mambo ila kuna siku nilimsikia GF wangu akisema huyo zari mtoto aliye naye kwa diamond ni wa 5 sasa huyo ni wa 6 au??/
 
jamani sio mfatiliaji sana wa haya mambo ila kuna siku nilimsikia GF wangu akisema huyo zari mtoto aliye naye kwa diamond ni wa 5 sasa huyo ni wa 6 au??/
Duh! sasa unataka kusema kwamba Zari ni incubator?
 
eeeeeeh safi sana!tupiaaa...mara Imooooooooo!
 
binadamu tunazaa na wala hatutotoi kwa maana sisi sio kuku!
Hii kauli ita ku cost wewe
Ni sawa na kumwambia mama yako mzazi kua anatotoa na wewe ukiwa mmoja wapo ya uliyetotolewa
Shame on u optico
 
hii ni mbinu yakumtuliza daimo hivi alifikiri atamtosa mtoto wa mjini yule kirahisi baada yakumzalisha?
 
Pole Zarina unajiingiza kwenye moto tandale!!! No future diamond pesa itaisha in only 3 to 4 years
 
dah mi nampongeza kwa kuamua kupata watoto kipindi hki ambacho anauwezo wa kuwalea, azae tu
 
Back
Top Bottom