Hongera Diamond

Ukitoa maisha yake binafsi kama ya mahusiano yake na labda mpangilio wa familia yake

Diamond ni kijana anae paswa kupewa hongera na wapambanaji wote bila kujali upo katika kada au shughuli gani ya kiuchumi na kubwa ni kutokukata tamaa, juhudi,timing, kuwa na team imara NK

Hongera sana Mondi
 
Hongera zake sana. Dai tupo pamoja tangia enzi za ''Nenda Kamwambie''
 
Dada wa marekani kutwa kumsakama huyu dogo, kwasababu kutushawishi tuuane alishindwa na anazeeka masikini wa kutupwa anatamani hata kurudi bongo ale dona lakini ndio hivo alinyea kambi, mondi bado nakuona kwa jicho la mbali mnoo kaza baba
 
Mimi nitampongeza siku nikihakikisha Hawa amepelekwa India kwa msaada wake kama alivyoahidi.
 
 
Ni sahihi kabisa. Diamond ni maana halisi ya celebrity..kuanzia muziki wake, maisha yake na watu wanaomzunguka...Diamond ni mithili ya kiwanda....ukimwangusha yeye umeangusha mamia ya watu nyuma yake kiuchumi.... anastahili pongezi kubwa sana, na nyakati fulani vyuo vyetu vya biashara vinastahili kumpa Utambulisho fulani wa heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…