Hongera Dk. Cheni kwa kutizimiza miaka 10 ya ndoa.

Mi nilijua mama yake,, mwanaume unatakiwa uoe mtoto mbichiii,,sasa huyo mikiki ya usiku si goigoi jomoni
Ni maoni tu
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Huyo jamaa ana cheo gani hapa Tanzania?

Na anamsaidia vp rais kuelekea industrial revolution
 
Hongera zake..!! Huyu jamaa azeeki, ila mkewe anaonekana mkubwa sijui mwili wake au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…