young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 713
They don't know you either!!???
Unataka washa moto [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tehteh
Mwenyewe hicho nimeandikiwa na mama klaree.. mwambie hubby akupeleke kwa Trump akupige msasa au Ngabu
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Unataka washa moto [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wakati mwenzio sasa hivi napumua vyema moto nimeuzima[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Inaonekana huyu bibie anateremsha michemsho saana. Kipindi anaolewa hakuwa hivyoWakati mwenzio sasa hivi napumua vyema moto nimeuzima
Halaf Sie tunaenda mweee sio kama Chen na mkewe
Rangi ya viwiko mmh!
Mbona bado ni mzuri tena sana mtoto anawaka sema watu wanapenda sana kukashifu ni sijabu hao wote wamaokashif wanamtamani. Huo unene jioni tatizo manaake tangu wapanue ni miaka 10 kwa hiyo walitegemea awe hivyo hivyo? Achana nao wapumbavuJamani mnaomkashifu huyo dada sabra mnamkosea heshima huyo mtu alikua chuma cha maana mno enzi tuko shule moja kati ya watto wazuri kutoka shy town
Sent using Jamii Forums mobile app
"ufahari ni mama wa ujinga"***Hasieumba Haumbui!
Binaadam tunajisahau sana! Hizo comments za kashfa kwa dada wa watu, mke wa Mtu, mama wa watu, rafiki wa watu, mtoto wa watu......n.k SIO SAWA!!
Dah watu jamani hahahahduh... kwa mke huyo kweli kavumilia
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
[emoji106]***Hasieumba Haumbui!
Binaadam tunajisahau sana! Hizo comments za kashfa kwa dada wa watu, mke wa Mtu, mama wa watu, rafiki wa watu, mtoto wa watu......n.k SIO SAWA!!
Vyeo vyote
Shangazi nipo!.....Hapa nilipo nimeshaandaa mchango wa babu asprini tayari kwa sababu na mimi nataka nimpate shemeji!!Hahaha anko upo
Haya bwana usiadimike sana mjombaShangazi nipo!.....Hapa nilipo nimeshaandaa mchango wa babu asprini tayari kwa sababu na mimi nataka nimpate shemeji!!
Ni mwenyekiti wa AcaciaHuyo jamaa ana cheo gani hapa Tanzania?
Na anamsaidia vp rais kuelekea industrial revolution
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duh... kwa mke huyo kweli kavumilia
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app