Ha ha ha ha ha! Nasubiri kuona wale jamaa wa dini itakuwaje safari hii. Sijui kompyuta na mfumo utawaonea tena? Matokeo haya yatazua tena maandamano? Yetu macho.
Ha ha ha ha ha! Nasubiri kuona wale jamaa wa dini itakuwaje safari hii. Sijui kompyuta na mfumo utawaonea tena? Matokeo haya yatazua tena maandamano? Yetu macho.
wewe kwli kilaza na hujui ulisemalo.
Hata kama mitihani itasahihishwa na komputa..kama hujma hipo hipo tu.kumbuka kabla ya system kuanza kazi,ni lazima background programmer waandike code,sasa huko kwnye code ndio mchezo mchafu unachezeka.
Mkuu kompyuta ni kipokea amri tu na kufanya kama amri zinavyosema kwa hiyo unaweza kulitegemea kompyuta kumbe limepewa amri sivyo ndivyo!! Tusubiri tujionee!!