Mr.mzumbe
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,037
- 998
Ha ha ha ha ha! Nasubiri kuona wale jamaa wa dini itakuwaje safari hii. Sijui kompyuta na mfumo utawaonea tena? Matokeo haya yatazua tena maandamano? Yetu macho.
wewe kwli kilaza na hujui ulisemalo.
Hata kama mitihani itasahihishwa na komputa..kama hujma hipo hipo tu.