Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Msaada gani?Huyo ni mama yangu kabisa sema Hana Msaada.
Kama p....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada gani?Huyo ni mama yangu kabisa sema Hana Msaada.
Kama p....
Mwabukusi ana lipi la maana hadi mjivunie?Wana Mbeya tunajivunia kina Dr Tulia Akisoni na Mwabukusi Bonifasi ✅️
Kuipenda nchi sawa ila kwa Dunia ya sasa Rais wa nchi lazima uwe na sifa ya ziada zaidi ya kuipenda nchi yako tu.Dr.Turia ni mzalendo sana,ananipenda nchini pia Royal sana
Nina uhakika asilimia Mia nane tisini Rais akiwa Tulia hatakubali wahuni kwenye serikali yake.Mkuu Lord denning , kwanza naunga mkono hoja Dr. Tulia awe mgombea wa urais wa CCM mwaka 2030.
Pili kwa vile Rais Samia alishauri 2025, twende na mgombea Mwanamke, japo wengi wanadhani Mwanamke huyo wa 2025 ni lazima awe Mama Samia, kwasababu ndio awamu yake ya pili, mimi pia Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!, hii maana yake 2025 Rais Samia is most likely but not necessarily ni lazima, yeye!, sio lazima, Mwanamke huyo, anaweza kuwa mwanamke mwingine yeyote, ila ukimuondoa Rais Samia as the No. 1 top lady in Tanzania, Dr. Tulia is the second!, hivyo 2025 anaweza kuwa ni Dr. Tulia!.
Kisha tembelea uzi huu, Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke angalia nilichosema kumhusu Dr. Tulia na uchaguzi wa 2030
Hivyo kwa hoja yako hii ya Dr. Tulia kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM mwaka 2030, tunafanana!.
P
Tulia wa kule bungeni kwenye ile IGA ya DPW aliiweka mbali kabisa taaluma yake ya sheria akaamua kuwa mwanasiasa, aloamua kufanya kila atakalo Samia, kama hili hukuliona utakuwa kipofu.Tupe uthibitisho wa kutokuwa na msimamo kwake?
Ameoneshaje kuwa sio wa kumuamini? Kuna uthibitisho wa mtu kuaminiwa zaidi ya kura 172 alizopata kwenye uchaguzi wa IPU?
Wahuni ndo kina nani?Nina uhakika asilimia Mia nane tisini Rais akiwa Tulia hatakubali wahuni kwenye serikali yake
Aliwekaje? Kwa sababu aliwashinda kwa hoja kisheria au?Tulia wa kule bungeni kwenye ile IGA ya DPW aliiweka mbali kabisa taaluma yake ya sheria akaamua kuwa mwanasiasa, aloamua kufanya kila atakalo Samia, kama hili hukuliona utakuwa kipofu.
Mkuu wahuni wanajulikanaWahuni ndo kina nani?
Asante sana mkuu Pascal Mayalla Nnakubaliana na wewe kwa asilimia 100Mkuu Lord denning , kwanza naunga mkono hoja Dr. Tulia awe mgombea wa urais wa CCM mwaka 2030.
Pili kwa vile Rais Samia alishauri 2025, twende na mgombea Mwanamke, japo wengi wanadhani Mwanamke huyo wa 2025 ni lazima awe Mama Samia, kwasababu ndio awamu yake ya pili, mimi pia Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!, hii maana yake 2025 Rais Samia is most likely but not necessarily ni lazima, yeye!, sio lazima, Mwanamke huyo, anaweza kuwa mwanamke mwingine yeyote, ila ukimuondoa Rais Samia as the No. 1 top lady in Tanzania, Dr. Tulia is the second!, hivyo 2025 anaweza kuwa ni Dr. Tulia!.
Kisha tembelea uzi huu, Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke angalia nilichosema kumhusu Dr. Tulia na uchaguzi wa 2030
Hivyo kwa hoja yako hii ya Dr. Tulia kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM mwaka 2030, tunafanana!.
P
Kama wanajulikana mbona huwataji?Mkuu wahuni wanajulikana
Vijana wa enzi za Mwalimu mpaka kufikia miaka ya 90 walikuwa na akili pamoja na kujiamini hasa, pia hakuwa na mambo ya kujipendekeza pendeleza.Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana
Nimeangalia ulivyojinadi. Kusema kweli umeonesha uwezo wako kama mwanamke mahiri.
Ujumbe wangu kwako Dkt Tulia- Jijenge vizuri kimataifa, jijenge vizuri kuijua Dunia na Siasa zake. Jipe muda kujifunza sana na kwa kila unalojifunza jifunze pia namna ya kulifanyia utekelezaji.
Ujumbe wangu kwa Rais Samia- Naona umemuona Tulia. Najua hata faili lake unaweza kulipata na kulipitia. Kusema kweli mwanamke mwenzako anaweza. Mjenge vizuri, mpe exposure, mjenge aendeleze haya mazuri yote unayoyafanya sana hasa katika kujenga uchumi imara kupitia sekta binafsi pale utakapomaliza uongozi wako. Mpe exposure apate kujifunza vizuri geopolitics. Na mwisho ikikupendeza chama chako kimpe kijiti akapeperushe bendera ya chama 2030.
Kwa CCM- Najua coming 2030 kuna Mwigulu na Makamba. Najua wamejijenga sana na wanajijenga sana. Ila muangalieni vizuri Dkt. Tulia. Mjengeni kichama na kimataifa. Aijue Dunia na siasa zake ili ajifunze kipi tunatakiwa kukifanya kuendana na kasi dunia inayoenda. Msimfundishe udiktekta bali kutumia akili, busara na maarifa kama anavyofanya Rais Samia. Nchi inahitaji consistence ili ipate maendeleo ya kweli.
Mjengeni Tulia afanye haya mazuri anayoyafanya Samia ili kuwe na consistence na mwisho tuwe nchi ya maziwa na asali. Tusirudi tena nyuma.
Kwa wana Mbeya- Mmemuona Tulia. Anaweza na kweli anaweza. Kikubwa mleeni awe kiongozi bora. Mpeni ushirikiano na jifunzeni kulingia watu wenu wenye mafanikio kwa kuwa mafanikio ya watu wenu ni mafanikio yenu. Mbeya ni jiji lenye hali nzuri ya hewa nadhani kuliko mikoa yote hapa Tanzania ila mnahitaji viongozi wazuri muijenge vizuri mbeya yenu. Mmepata Tulia mtumieni vizuri.
Asanteni
Lord Denning
Kigali
Ubunge tu 2025 hawezi kupata acha uzezeta!Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana

Imagine 2025 raisi Samia amchague Dr Tulia kuwa mgombea mwenza wa uraisi na baadae awe makamu wa raisi.
Alafu Makonda agombee ubunge na baadae apitishwe kuwa spika wa bunge.
I hope kuna watu watakufa kwa presha ya "wasiempenda kaja" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda uraisi wa watu wenye afya zenye utataNianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana
Nimeangalia ulivyojinadi. Kusema kweli umeonesha uwezo wako kama mwanamke mahiri.
Ujumbe wangu kwako Dkt Tulia- Jijenge vizuri kimataifa, jijenge vizuri kuijua Dunia na Siasa zake. Jipe muda kujifunza sana na kwa kila unalojifunza jifunze pia namna ya kulifanyia utekelezaji.
Ujumbe wangu kwa Rais Samia- Naona umemuona Tulia. Najua hata faili lake unaweza kulipata na kulipitia. Kusema kweli mwanamke mwenzako anaweza. Mjenge vizuri, mpe exposure, mjenge aendeleze haya mazuri yote unayoyafanya sana hasa katika kujenga uchumi imara kupitia sekta binafsi pale utakapomaliza uongozi wako. Mpe exposure apate kujifunza vizuri geopolitics. Na mwisho ikikupendeza chama chako kimpe kijiti akapeperushe bendera ya chama 2030.
Kwa CCM- Najua coming 2030 kuna Mwigulu na Makamba. Najua wamejijenga sana na wanajijenga sana. Ila muangalieni vizuri Dkt. Tulia. Mjengeni kichama na kimataifa. Aijue Dunia na siasa zake ili ajifunze kipi tunatakiwa kukifanya kuendana na kasi dunia inayoenda. Msimfundishe udiktekta bali kutumia akili, busara na maarifa kama anavyofanya Rais Samia. Nchi inahitaji consistence ili ipate maendeleo ya kweli.
Mjengeni Tulia afanye haya mazuri anayoyafanya Samia ili kuwe na consistence na mwisho tuwe nchi ya maziwa na asali. Tusirudi tena nyuma.
Kwa wana Mbeya- Mmemuona Tulia. Anaweza na kweli anaweza. Kikubwa mleeni awe kiongozi bora. Mpeni ushirikiano na jifunzeni kulingia watu wenu wenye mafanikio kwa kuwa mafanikio ya watu wenu ni mafanikio yenu. Mbeya ni jiji lenye hali nzuri ya hewa nadhani kuliko mikoa yote hapa Tanzania ila mnahitaji viongozi wazuri muijenge vizuri mbeya yenu. Mmepata Tulia mtumieni vizuri.
Asanteni
Lord Denning
Kigali
Huyu hafai hata kwa kulimangia ugali. Mpigaji tu na ushahidi ni jinsi alivyoshirikiana na samia kutaka kuwapa dubai bandari zetu zote kuendesha kama mali yao. Kuna hata wameweka kiasi gani DPW walimlipa na akawa kundi moja na kina baba revo kitenge na wengine kupigia debe DP. Msituletee balaa kwa watu wabinafsi.Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana
Nimeangalia ulivyojinadi. Kusema kweli umeonesha uwezo wako kama mwanamke mahiri.
Ujumbe wangu kwako Dkt Tulia- Jijenge vizuri kimataifa, jijenge vizuri kuijua Dunia na Siasa zake. Jipe muda kujifunza sana na kwa kila unalojifunza jifunze pia namna ya kulifanyia utekelezaji.
Ujumbe wangu kwa Rais Samia- Naona umemuona Tulia. Najua hata faili lake unaweza kulipata na kulipitia. Kusema kweli mwanamke mwenzako anaweza. Mjenge vizuri, mpe exposure, mjenge aendeleze haya mazuri yote unayoyafanya sana hasa katika kujenga uchumi imara kupitia sekta binafsi pale utakapomaliza uongozi wako. Mpe exposure apate kujifunza vizuri geopolitics. Na mwisho ikikupendeza chama chako kimpe kijiti akapeperushe bendera ya chama 2030.
Kwa CCM- Najua coming 2030 kuna Mwigulu na Makamba. Najua wamejijenga sana na wanajijenga sana. Ila muangalieni vizuri Dkt. Tulia. Mjengeni kichama na kimataifa. Aijue Dunia na siasa zake ili ajifunze kipi tunatakiwa kukifanya kuendana na kasi dunia inayoenda. Msimfundishe udiktekta bali kutumia akili, busara na maarifa kama anavyofanya Rais Samia. Nchi inahitaji consistence ili ipate maendeleo ya kweli.
Mjengeni Tulia afanye haya mazuri anayoyafanya Samia ili kuwe na consistence na mwisho tuwe nchi ya maziwa na asali. Tusirudi tena nyuma.
Kwa wana Mbeya- Mmemuona Tulia. Anaweza na kweli anaweza. Kikubwa mleeni awe kiongozi bora. Mpeni ushirikiano na jifunzeni kulingia watu wenu wenye mafanikio kwa kuwa mafanikio ya watu wenu ni mafanikio yenu. Mbeya ni jiji lenye hali nzuri ya hewa nadhani kuliko mikoa yote hapa Tanzania ila mnahitaji viongozi wazuri muijenge vizuri mbeya yenu. Mmepata Tulia mtumieni vizuri.
Asanteni
Lord Denning
Kigali
We utakuwa Mkazi wa SongweMwabukusi ana lipi la maana hadi mjivunie?
Nimekaa pale.Ubunge tu 2025 hawezi kupata acha uzezeta!
Tupe huo ushahidi. Uweke hapa.Huyu hafai hata kwa kulimangia ugali. Mpigaji tu na ushahidi ni jinsi alivyoshirikiana na samia kutaka kuwapa dubai bandari zetu zote kuendesha kama mali yao. Kuna hata wameweka kiasi gani DPW walimlipa na akawa kundi moja na kina baba revo kitenge na wengine kupigia debe DP. Msituletee balaa kwa watu wabinafsi.
Unazunguka sana mwambie Samia amateue Tulia kuwa Naibu Makamu wa Rais pia ili awe na vyeo viwili kama Dotto Biteko.Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana