Hongera Dkt. Tulia. Sasa unatosha kuchukua kijiti 2030

Dr.Turia ni mzalendo sana,ananipenda nchini pia Royal sana
Kuipenda nchi sawa ila kwa Dunia ya sasa Rais wa nchi lazima uwe na sifa ya ziada zaidi ya kuipenda nchi yako tu.
 
Nina uhakika asilimia Mia nane tisini Rais akiwa Tulia hatakubali wahuni kwenye serikali yake.

Tulia aweza aluminium Dr mpango lakini sio Mhuni larmeck
 
Tupe uthibitisho wa kutokuwa na msimamo kwake?

Ameoneshaje kuwa sio wa kumuamini? Kuna uthibitisho wa mtu kuaminiwa zaidi ya kura 172 alizopata kwenye uchaguzi wa IPU?
Tulia wa kule bungeni kwenye ile IGA ya DPW aliiweka mbali kabisa taaluma yake ya sheria akaamua kuwa mwanasiasa, aloamua kufanya kila atakalo Samia, kama hili hukuliona utakuwa kipofu.
 
Tulia wa kule bungeni kwenye ile IGA ya DPW aliiweka mbali kabisa taaluma yake ya sheria akaamua kuwa mwanasiasa, aloamua kufanya kila atakalo Samia, kama hili hukuliona utakuwa kipofu.
Aliwekaje? Kwa sababu aliwashinda kwa hoja kisheria au?
 
Asante sana mkuu Pascal Mayalla Nnakubaliana na wewe kwa asilimia 100
 
Vijana wa enzi za Mwalimu mpaka kufikia miaka ya 90 walikuwa na akili pamoja na kujiamini hasa, pia hakuwa na mambo ya kujipendekeza pendeleza.

Walikuwa wakiweka hoja mezani, unoona kabisa Taifa lina vijana ambao wana matumiz sahihi ya Elimu na Akili walliyo jaaliwa.

Vijana wa siku hizi wako tofauti sana sioni wakijadili hoja nzito nzito kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu.

Nashawishika kusema kuwa vijana wa zaman walikombolewa na elimu, lakini vijana wa sasa elimu ndio inazidi kuwafanya kuwa watumwa na hawajui nini cha kuifanyia Nchi yao.
 
Ubunge tu 2025 hawezi kupata acha uzezeta!
 

Hizo falacy ideas ni bora ukabaki nazo. Hii nchi si ya majaribio ya kiuongozi
 
Labda uraisi wa watu wenye afya zenye utata
 
Huyu hafai hata kwa kulimangia ugali. Mpigaji tu na ushahidi ni jinsi alivyoshirikiana na samia kutaka kuwapa dubai bandari zetu zote kuendesha kama mali yao. Kuna hata wameweka kiasi gani DPW walimlipa na akawa kundi moja na kina baba revo kitenge na wengine kupigia debe DP. Msituletee balaa kwa watu wabinafsi.
 
Tupe huo ushahidi. Uweke hapa.

Kwangu mimi aliyesimama upande wa kutetea uwekezaji wa DP World bandarini huyo ndo mzalendo wa kweli.
 
Unazunguka sana mwambie Samia amateue Tulia kuwa Naibu Makamu wa Rais pia ili awe na vyeo viwili kama Dotto Biteko.
Urais Tanzania umekuwa wa kila mtu?Samia mwenyewe nchi imemshinda kama ilivyomshinda Mshauri Mkuu wake JK.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…