Hongera Eddie Sultani kwa ndoa!

Hahahahaha msije mkaanza kumpelekea mara vipodozi mara dogo nimekuja kukusabahi kitambo hatujaonana...lakini huyo bibie akishusha single 1 tu basi kwisha kazi dogo ndo ataonekana mbichi zaidi.

Kwi!kwi!kwi! Fidel huyo jamaa aliye msimamia ameoa? kuna jamaa nimesikia wanaquestion kitu flani nikashtuka hivi......
 
oh My!! dogo naona amekwenda kujitwisha mdada mkubwa (mzee). Hongera zake lakini hatujui nini kimemfanya afunge ndoa.
 
oh My!! dogo naona amekwenda kujitwisha mdada mkubwa (mzee). Hongera zake lakini hatujui nini kimemfanya afunge ndoa.
watu bana hamuna dogo, mwanamke akiolewa na mtu mzima ohhhh!!! kaolewa na mzee, haya hapa tena mwamsema eddy kaoa mdada mkubwa loh!! Sijui lipi bora sasa? Anyway utakuta Eddy kaoa msichana umri wapo sawa ila sema huyo mdada ana mwili mkubwa.
Hongera zako eddy, ila mh!! Umeingia mapema huko, kila kheri.
 
Ni vema kuoa mapema ilikukabiliana na changamoto za ndoa mapema pia
 
Huyo binti wametoka naye longi kitambo tangu wapo chuo malaysia. Sema tu demu siyo mkali kivile ila siyo mkubwa sana huenda wapo sawa.
 
Huenda tunda lake tamu mno labda alikuta bikra. Maana uzuri haupo kwenye sura ukivuliwa mambo ndo utauona uzuri wa ndani ambao ndo wa maana zaidi. Uzuri wa nje ni kwa watazamaji tuu.
 
Demu lingine linaweza kuwa lizuri nje ila ukilivua nguo libovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…