OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pole sana kwa maumivu makali. FeiiiiiNdugu mbumbumbu Yanga kufungwa goli na Fei toto hakuna shida yoyote kwakua Yanga bado ita twaa ubingwa, Yanga kama timu mafanikio yake ni kutwaa mataji.
Feitoto kama atakua na akili za mbuzi kama zako nakuona kuifunga yanga ni taji la ubingwa kama wafanyavyo waajiri wake maana yake ameenda kwenye udumavu.
Feitoto anatakiwa apambane kuondoka kwenye mpira wetu na kwenda kucheza nje ya mipaka ya Tanzania.
Kama Fei ataona kufika Azam ndio mafanikio yake basi atakua yupo kwenye kundi la wachezji wengi wa kibongo ambao waliona mafanikio yao ni kuchezea timu kubwa.
Kulingana na umri wa Fei akishindwa kutoka ndani ya misimu hii miwili kupata timu nje ya Tanzania atakua amekwama yeye binafsi.
Hongere ndugu mbumbumbu kwa kombe la Fei.Pole sana kwa maumivu makali. Feiiiii
Mbona una hasira sana na Fei? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu mbumbumbu Yanga kufungwa goli na Fei toto hakuna shida yoyote kwakua Yanga bado ita twaa ubingwa, Yanga kama timu mafanikio yake ni kutwaa mataji.
Feitoto kama atakua na akili za mbuzi kama zako nakuona kuifunga yanga ni taji la ubingwa kama wafanyavyo waajiri wake maana yake ameenda kwenye udumavu.
Feitoto anatakiwa apambane kuondoka kwenye mpira wetu na kwenda kucheza nje ya mipaka ya Tanzania.
Kama Fei ataona kufika Azam ndio mafanikio yake basi atakua yupo kwenye kundi la wachezji wengi wa kibongo ambao waliona mafanikio yao ni kuchezea timu kubwa za bongo.
Kulingana na umri wa Fei akishindwa kutoka ndani ya misimu hii miwili kupata timu nje ya Tanzania atakua amekwama yeye binafsi.
🤫🤫🤫 kwa hisani ya FeiHongere ndugu mbumbumbu kwa kombe la Fei.
Mimi sina shida na Fei, Kwamaana akifanikiwa yeye na familia yake ita faidika Taifa pia.Mbona una hasira sana na Fei? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda wee huko nje, yeye Azam panamtosha sana.
kumshauri mwenzako aende akatafute fursa nje ya nchi wakati wewe shughuli zako unafanyia hapahapa Tanzania NI UTAHIRA.Ndugu mbumbumbu Yanga kufungwa goli na Fei toto hakuna shida yoyote kwakua Yanga bado ita twaa ubingwa, Yanga kama timu mafanikio yake ni kutwaa mataji.
Feitoto kama atakua na akili za mbuzi kama zako nakuona kuifunga yanga ni taji la ubingwa kama wafanyavyo waajiri wake maana yake ameenda kwenye udumavu.
Feitoto anatakiwa apambane kuondoka kwenye mpira wetu na kwenda kucheza nje ya mipaka ya Tanzania.
Kama Fei ataona kufika Azam ndio mafanikio yake basi atakua yupo kwenye kundi la wachezji wengi wa kibongo ambao waliona mafanikio yao ni kuchezea timu kubwa za bongo.
Kulingana na umri wa Fei akishindwa kutoka ndani ya misimu hii miwili kupata timu nje ya Tanzania atakua amekwama yeye binafsi.
Vitu kama hivi ndivyo mashabiki wa simba walitakiwa kujadili! Iweje mwaka wa tatu huu mfululizo timu yao haijaambulia kombe lolote lile! Ila wao utawakuta muda mwingi wako busy kuimba taarab!!
Baadae mnaanza kumlaumu Mangungu wakati mafanikio mnayaonaView attachment 2940663
Nitumie nafasi hii kumpongeza kiungo wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kuitungua Utopolo goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani (Yanga SC) uliopigwa juzi Machi 17, 2024.
Huu unakuwa mchezo wa tatu kwa Feisal kukutana na Yanga toka ajiunge na Azam FC na linakuwa goli lake la kwanza kuiwamba Utopolo.
Wakati Fei akiwa kikata domo la Utopolo wiki ijayo kuna mambo mazuri zaidi yanakuja
Naunga mkono hojaVitu kama hivi ndivyo mashabiki wa simba walitakiwa kujadili! Iweje mwaka watatu huu mfululizo timu yao haijaambulia kombe lolote lile! Ila wao utawakuta muda mwingi wako busy kuimba taarab!!
Alivyo na gundu huyu jamaa tegemea chochote kutoka kwa Fei kwenye mechi yao na Azam FCMwasibu wa umoja wa mashoga kwenye moja na mbili....wewe jamaa mpira achana nao wewe kazi Yako ni kupakatwa.
Afu mwamba mtulivuuu hana maneno mengiiSafi sana Feiii mkandaji
Sasa ndo utulizanee, yeye Fei Azam panamtosha sana, huko nje sio shida zake.Mimi sina shida na Fei, Kwamaana akifanikiwa yeye na familia yake ita faidika Taifa pia.
Nchi hii wamepita wachezji wengi sana wenye vipaji ila wameishia apaapa.
Mimi binafsi nje nilisha kwenda na nashkuru nili chopata baada ya kutoka sihaba ila sikutoka kwa michezo.
Hii imeambatana na maumivu makubwa mnoo.Good for him.
Mechi tatu mfululizo tangu ahamie Azam ameona wachezaji wa yanga wakiondoka uwanjani na Furaha. Ameona pia Aziz ki akiwapiga hat trick.
So, ni muda wake na yeye afurahi, kwa sababu ni mchezaji mzuri aliyenolewa kwa jasho la wananchi. let him enjoy, hatumdai na hatudai sisi wanayanga.