OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nitumie nafasi hii kumpongeza kiungo wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kuitungua Utopolo goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani (Yanga SC) uliopigwa juzi Machi 17, 2024.
Huu unakuwa mchezo wa tatu kwa Feisal kukutana na Yanga toka ajiunge na Azam FC na linakuwa goli lake la kwanza kuiwamba Utopolo.
Wakati Fei akiwa kikata domo la Utopolo wiki ijayo kuna mambo mazuri zaidi yanakuja