naona unamsinich ngosha!😂Natumia nafasi hii kumpa hongera msanii Fid Q kwa kuaminika na kupewa ubalozi wa kutangaza hedhi salama kwa watoto wa kike.
Hakika unastahili sana kuwa balozi na mtoa elimu ya hedhi kwa vijana wa kike.
Watoa deal wameitendea haki kampeni yao.View attachment 1045067
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂huu uzi utaniua mimiPesa inaweza ikakufanya uwe zuzu
huwezi kua ambassador wa watu wenye ukimwi wakati wewe huna, huwezi kuwasea vyema maana hujui wanayoyapitia!Kumpa mwanaume ubalozi wa hedhi salama nadhani lengo ni kuleta awareness kwa wanaume kuweza kutambua hali za mabinti zao au wake zao..haya mambo wasiachiwe wanawake tu..hata wanaume wanapaswa kufahamu maana na wao ni sehemu ya mabadiliko ya jamii
Watu wote twahitaji elimu kuhusu hedhi katika malezi na katika mahusianoHata huko wangepinga mwanaume utaelezeaje hedhi ya mwanamke haileti picha nzuri kwa maoni yangu.
ebu acheni kumpamp ngosha!
Hii itasaidia kufanya watu wasio na Ukimwi kujua wenye ukimwi wana face challenge gan afu tunaishi katika jamii ya wenye ukimwi na wasio na ukimwi nadhan umenipata hapohuwezi kua ambassador wa watu wenye ukimwi wakati wewe huna, huwezi kuwasea vyema maana hujui wanayoyapitia!
hapa ngosha kavaa viatu vya watu
Yeyote yule anaweza kujibu maswami kwa uhakika ila mpaka pale atakapokuwa na elimu ya kutoshaa..kuna wanawake wengi sana hawafahamu elimi ya hedhi..matokeo yake wanapeana misinformed informationebu acheni kumpamp ngosha!
hivi unahisi kukiwa na makundi mawili ya mabinti/wanawake,
moja akabidhiwe Joketi
Jingine akabidhiwe Fid q! unahisi ni kundi lipi litapata elimu kwa uwazi na kufungua mjadala wa maswali bila haya na mwanga zaidi juu ya hedhi?
na yupi ataweza kujibu maswali ya wahusika ufasaha?
wewe mwanamke au mwanaume?Yeyote yule anaweza kujibu maswami kwa uhakika ila mpaka pale atakapokuwa na elimu ya kutoshaa..kuna wanawake wengi sana hawafahamu elimi ya hedhi..matokeo yake wanapeana misinformed information
hataweza kukwambia kila kitu kama ambavyo angemwambia mwenye ukimwi mwenzio maana ataamini unamsanifu huwezi kua huna ukimwi halfu uwe kiongozi wake huo ni utani na matatizo ya watu! kuishi nao sio kigezo cha wewe kua kiongozi waoHii itasaidia kufanya watu wasio na Ukimwi kujua wenye ukimwi wana face challenge gan afu tunaishi katika jamii ya wenye ukimwi na wasio na ukimwi nadhan umenipata hapo
mwakilishi au kiongozi wa Kenya atoke Tanzania kisa sote ni Africa mashariki? huo ni utaniYeyote yule anaweza kujibu maswami kwa uhakika ila mpaka pale atakapokuwa na elimu ya kutoshaa..kuna wanawake wengi sana hawafahamu elimi ya hedhi..matokeo yake wanapeana misinformed information
Mimi ni mwanaume..lakini kitendo cha kumuhusisha mwanaume katika hii kampeni lengo ni kutengeneza awareness kwa wanaume waweze pia kufahamu maswala yanayowahusu wanawake..tumesoma kwenye makaratasi lakini ni muhimu pia kusisitizia kwenye kampen mbalimbali ili kukuza ufahamu wa haya mambowewe mwanamke au mwanaume?
kama mwanaume!
naamini unaijua hedhi kusoma makaratasi sio kutokewa na hedhi, wanawake wapo wengi wanaofiti hiyo nafasi wapewe wafanye
itumike njia nyingine ya kutuhusisha mkuu, sio hio hapo ni ngumu mtoto wa kike kusimama mbele ya fid q nakumwambia huwa damu zikitoka naenda kuweka madaso hivyo nakosa huduma ya padsMimi ni mwanaume..lakini kitendo cha kumuhusisha mwanaume katika hii kampeni lengo ni kutengeneza awareness kwa wanaume waweze pia kufahamu maswala yanayowahusu wanawake..tumesoma kwenye makaratasi lakini ni muhimu pia kusisitizia kwenye kampen mbalimbali ili kukuza ufahamu wa haya mambo
Mkuu hii ni moja ya njia ya kutuhusisha..akisimama Fid Q lazima atavuta attention yako kutaka kujua mwanaume huyu anatangaza nini..ila akisimama mwanamke wanaume hutajali tutasema ni mambo ya kike hivyo awareness yetu itakuwa ndogoitumike njia nyingine ya kutuhusisha mkuu, sio hio hapo ni ngumu mtoto wa kike kusimama mbele ya fid q nakumwambia huwa damu zikitoka naenda kuweka madaso hivyo nakosa huduma ya pads
ebu tuwe serious kidogo na hili