Hongera Fid Q kwa kuwa balozi wa "Hedhi Salama"

Kumpa mwanaume ubalozi wa hedhi salama nadhani lengo ni kuleta awareness kwa wanaume kuweza kutambua hali za mabinti zao au wake zao..haya mambo wasiachiwe wanawake tu..hata wanaume wanapaswa kufahamu maana na wao ni sehemu ya mabadiliko ya jamii
huwezi kua ambassador wa watu wenye ukimwi wakati wewe huna, huwezi kuwasea vyema maana hujui wanayoyapitia!

hapa ngosha kavaa viatu vya watu
 
Yupo sahihi ni wewe haupo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ebu acheni kumpamp ngosha!

hivi unahisi kukiwa na makundi mawili ya mabinti/wanawake,

moja akabidhiwe Joketi
Jingine akabidhiwe Fid q! unahisi ni kundi lipi litapata elimu kwa uwazi na kufungua mjadala wa maswali bila haya na mwanga zaidi juu ya hedhi?

na yupi ataweza kujibu maswali ya wahusika ufasaha?
 
huwezi kua ambassador wa watu wenye ukimwi wakati wewe huna, huwezi kuwasea vyema maana hujui wanayoyapitia!

hapa ngosha kavaa viatu vya watu
Hii itasaidia kufanya watu wasio na Ukimwi kujua wenye ukimwi wana face challenge gan afu tunaishi katika jamii ya wenye ukimwi na wasio na ukimwi nadhan umenipata hapo
 
ebu acheni kumpamp ngosha!

hivi unahisi kukiwa na makundi mawili ya mabinti/wanawake,

moja akabidhiwe Joketi
Jingine akabidhiwe Fid q! unahisi ni kundi lipi litapata elimu kwa uwazi na kufungua mjadala wa maswali bila haya na mwanga zaidi juu ya hedhi?

na yupi ataweza kujibu maswali ya wahusika ufasaha?
Yeyote yule anaweza kujibu maswami kwa uhakika ila mpaka pale atakapokuwa na elimu ya kutoshaa..kuna wanawake wengi sana hawafahamu elimi ya hedhi..matokeo yake wanapeana misinformed information
 
wewe mwanamke au mwanaume?

kama mwanaume!

naamini unaijua hedhi kusoma makaratasi sio kutokewa na hedhi, wanawake wapo wengi wanaofiti hiyo nafasi wapewe wafanye
 
Hii itasaidia kufanya watu wasio na Ukimwi kujua wenye ukimwi wana face challenge gan afu tunaishi katika jamii ya wenye ukimwi na wasio na ukimwi nadhan umenipata hapo
hataweza kukwambia kila kitu kama ambavyo angemwambia mwenye ukimwi mwenzio maana ataamini unamsanifu huwezi kua huna ukimwi halfu uwe kiongozi wake huo ni utani na matatizo ya watu! kuishi nao sio kigezo cha wewe kua kiongozi wao
 
Yeyote yule anaweza kujibu maswami kwa uhakika ila mpaka pale atakapokuwa na elimu ya kutoshaa..kuna wanawake wengi sana hawafahamu elimi ya hedhi..matokeo yake wanapeana misinformed information
mwakilishi au kiongozi wa Kenya atoke Tanzania kisa sote ni Africa mashariki? huo ni utani
 
wewe mwanamke au mwanaume?

kama mwanaume!

naamini unaijua hedhi kusoma makaratasi sio kutokewa na hedhi, wanawake wapo wengi wanaofiti hiyo nafasi wapewe wafanye
Mimi ni mwanaume..lakini kitendo cha kumuhusisha mwanaume katika hii kampeni lengo ni kutengeneza awareness kwa wanaume waweze pia kufahamu maswala yanayowahusu wanawake..tumesoma kwenye makaratasi lakini ni muhimu pia kusisitizia kwenye kampen mbalimbali ili kukuza ufahamu wa haya mambo
 
itumike njia nyingine ya kutuhusisha mkuu, sio hio hapo ni ngumu mtoto wa kike kusimama mbele ya fid q nakumwambia huwa damu zikitoka naenda kuweka madaso hivyo nakosa huduma ya pads

ebu tuwe serious kidogo na hili
 
Mkuu hii ni moja ya njia ya kutuhusisha..akisimama Fid Q lazima atavuta attention yako kutaka kujua mwanaume huyu anatangaza nini..ila akisimama mwanamke wanaume hutajali tutasema ni mambo ya kike hivyo awareness yetu itakuwa ndogo
 
Back
Top Bottom