Hongera Fid Q kwa kuwa balozi wa "Hedhi Salama"

Naona sawa maana wanaume mnachukulia kama mkosi ndio maana wakatumia mwanaume aelimishe wengine wasichukulie kama mkosi
BIG UP fid q waelimishe
 
Naona sawa maana wanaume mnachukulia kama mkosi ndio maana wakatumia mwanaume aelimishe wengine wasichukulie kama mkosi
BIG UP fid q waelimishe
mmh Dada!

kwa hiyo atakua anawaelimisha from experience au kutoka kwenye makaratasi?
 
Naona sawa maana wanaume mnachukulia kama mkosi ndio maana wakatumia mwanaume aelimishe wengine wasichukulie kama mkosi
BIG UP fid q waelimishe
hivi ni kweli fid q anajua matatizo yanayowakumba wanawake wakati wa hedhi?

ataweza kuwaelekeza watoto wa kike namna ya kujiweka safi hasa wakati wa hedhi ? ni nini abebe akikaribia hizo siku?

Mwacheni ngosha afanye mambo mengine jamani!
 
Naona sawa maana wanaume mnachukulia kama mkosi ndio maana wakatumia mwanaume aelimishe wengine wasichukulie kama mkosi
BIG UP fid q waelimishe
Dada Sonia sio mkosi,ni sawa na mwanaume kuvaa sweta la pink eti kwa sababu liko kwa fashion.
Atukatai fashion,ila fashion yawa dada.kwangu mm sioni ajab kuwa baloz wa izo Mambo ila anatupa tension ya namna ya kushirikiana na watoto wetu wakike hasa ktk kipindi hiki cha.com.Wa tz tubadilike aya Mambo yako mke wako anaweza safiri ukashindwa kujua shida ya mwanao.Mwisho wa siku bodaboda anampa ila ya pedi anaanza kula na mzigo.Na Mimi lilinipa shida ila kwa sasa naona kawaida na Mimi ni balozi kazini kwangu,ikumbuke ata wazazi wetu walipitia izi mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] nilisoma humu mwanamke akiwa hedhi akichuma mboga bustanini zinakauka, nikamuuliza wife, akasema ndio hata wao kwao walikuwa hawaendi kwenye bustani ya mboga mjerumani akishuka, nikapiga marufuku kabisa yeye na house girl wangu wasikanyage tena kwenye bustani yangu ya mboga mboga wakiwa hizo siku hata wakijihisi wakikaribia, bora wakanunue kuliko kukausha bustani yangu...

Ubalozi wa fid q unatakiwa uzungumzie stereotype kama hizi katika jamii siyo naye avae pedi na kulegeza macho kama hivyo
 
sasa si bora wangempa Amber rutty... wanamuaibisha NGOSHA

Sent usingJamii Forums mobile app
 
..dah!... . ..aya bhana...........
 
maswala ya kuchangamkia fursa.....keep Up bro najua wabongo unawajua vizur so ziba sikio piga kazi saidia watoto wako wa kike wasome kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…