Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
comment hii asipo kuelewa mkuu achana narmwakilishi au kiongozi wa Kenya atoke Tanzania kisa sote ni Africa mashariki? huo ni utani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
comment hii asipo kuelewa mkuu achana narmwakilishi au kiongozi wa Kenya atoke Tanzania kisa sote ni Africa mashariki? huo ni utani
naona hataki kabisa kuhama kwenye utashi wake!comment hii asipo kuelewa mkuu achana nar
mmh Dada!Naona sawa maana wanaume mnachukulia kama mkosi ndio maana wakatumia mwanaume aelimishe wengine wasichukulie kama mkosi
BIG UP fid q waelimishe
hivi ni kweli fid q anajua matatizo yanayowakumba wanawake wakati wa hedhi?Naona sawa maana wanaume mnachukulia kama mkosi ndio maana wakatumia mwanaume aelimishe wengine wasichukulie kama mkosi
BIG UP fid q waelimishe
😂🤣Duhh...
Nimeona Aibu
Dada Sonia sio mkosi,ni sawa na mwanaume kuvaa sweta la pink eti kwa sababu liko kwa fashion.Naona sawa maana wanaume mnachukulia kama mkosi ndio maana wakatumia mwanaume aelimishe wengine wasichukulie kama mkosi
BIG UP fid q waelimishe
maswala ya kuchangamkia fursa.....keep Up bro najua wabongo unawajua vizur so ziba sikio piga kazi saidia watoto wako wa kike wasome kwa amaniNatumia nafasi hii kumpa hongera msanii Fid Q kwa kuaminika na kupewa ubalozi wa kutangaza hedhi salama kwa watoto wa kike.
Hakika unastahili sana kuwa balozi na mtoa elimu ya hedhi kwa vijana wa kike.
Watoa deal wameitendea haki kampeni yao.View attachment 1045067
Sent using Jamii Forums mobile app