Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Nimeona clip kule kwenye insta page yake ,nimeona ilikua Poa hasa kwenye band pale,labda walokuwa la liga wa lete tathimini yaoUmeeleweka...
Show ya kiba ilikuwaje
Playback haiwezi pitwa na wakati,inategemea na aina ya Show unaingiza pesa ngapi. Tumeshuhudia wakina Rickross,Fat Joe,Eve,TI na wengineo wakikandamiza walivyokuja bongo. Halafu kuna aina ya mziki wa kuimba live, mi nikionaga live band za Hiphop huwa sipatagi mzuka kabisa, nataka kuisikia beat nzito ikidundwa na CD,msanii atambae na beat kavu

Kweli biti kavu nayo mzuka ila hata hilo halifanyiki huku kwetu
Playback haiwezi pitwa na wakati,inategemea na aina ya Show unaingiza pesa ngapi. Tumeshuhudia wakina Rickross,Fat Joe,Eve,TI na wengineo wakikandamiza walivyokuja bongo. Halafu kuna aina ya mziki wa kuimba live, mi nikionaga live band za Hiphop huwa sipatagi mzuka kabisa, nataka kuisikia beat nzito ikidundwa na CD,msanii atambae na beat kavu
Lazima usielewe coz' kibongo bongo live performance tuko bado sana... tatizo ni vyombo na sound engineers, in short hakuna, matokeo yake mara nyingi ukishuhudia live music, unakosa ile ladha ya wimbo husika!Ni kweli kabisa, ila mimi kwa muziki wowote ule vyombo vikipigwa live sielewi kitu bora wag0nge biti tupu kwenye cd afu mambo mengine yaendelee.