Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa hana nguo zaidi ya hizi nyeusi?
Hivi huwa hana nguo zaidi ya hizi nyeusi?
msimseme jamani mie nampendaga!
anaturepresent akina sie size plus!
mie nikawa nahofia watu wanavyomsema,itamuaffect self esteem,naona hapo amepata tuzo mambo yatajibalance!
kama ni wewe unashindaga kule kwa michuzi unamsema dada wa watu find something else to do!LOL
CLEARLY KUNA WANAOIFEEEL SWAGGA YAKE DADA FIDE,,,,KEEP YA HEAD UP GIRL!!!!LOL
Shida sio plus size wala rangi. Ni hivyo vipodozi anavyojikandika na hizo nguo zisizositiri maungo yake
msimseme jamani mie nampendaga!
anaturepresent akina sie size plus!
mie nikawa nahofia watu wanavyomsema,itamuaffect self esteem,naona hapo amepata tuzo mambo yatajibalance!
kama ni wewe unashindaga kule kwa michuzi unamsema dada wa watu find something else to do!LOL
CLEARLY KUNA WANAOIFEEEL SWAGGA YAKE DADA FIDE,,,,KEEP YA HEAD UP GIRL!!!!LOL
....makubwa. Swadakta.Shida sio plus size wala rangi. Ni hivyo vipodozi anavyojikandika na hizo nguo zisizositiri maungo yake