Kauli ya NAPE Jana kuhusu wizi wa kura ilipaswa kuwa kwenye magazeti ya leo kama habari kuu kama ilivyotawala kwenye mitandao ya kijamii. Kutokana na kufinywa kwa uhuru wa habari, magazeti karibu yote yameipotezea kabisa. Ni Nipashe pekee lilipojaribu kuiandika japo kwa woga. Hongera Nipashe mmejeribu