Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Hongera Halima VunjaBei Kwa Kupata Ushindi Wa K.O
Dhidi Ya Mpinzani Wako Nchini Ujerumani, Umeipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua ICU 😂😂😂Duuuh sasa aliyepigwa yupoje
Ila kapata mavumba, ila ngumu eti baadae unatakiwa utetee mkanda, (taji lako), kwa kuvumilia kipigo kwa yuleyule ama mpinzani mwingine, uzuri wa ngumi hata aliye shindwa anapata kifutia machozi, (kifuta jasho)bidada ana sura konki
Umeona eeehHuyu akipata hela zake akianza kula bata wanajitokeza washauri wanamuelekeza namna ya kuzitumia,
Natoa amri mtu huyu asishauriwe namna ya kutumia kibunda chake hata akiamua kununua nyani wa milion 20 aachwe