Hongera Halima VunjaBei Kwa Kupata Ushindi Wa K.O

HALIMA VUNJABEI β™₯οΈπŸŒΊπŸ€
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Halima Ramadhan Vunjabei ameshinda pambano lake kwa Knock Out ya raundi ya tatu dhidi ya bondia Songul Ayten lililiofanyika usiku wa novemba 23, 2024 mjini Munich nchini Ujerumani.

Halima Vunjabei anakuwa bondia wa kwanza mwanamke kushinda kwa KO nje ya nchi baada ya bondia Abdul Ubaya ambaye ni mwanaume kumchapa kwa KO
bondia wa Urusi Ibragim Estemirov oktoba 25, 2024 na kulamba shilingi milioni tano kama zawadi ya Knock Out ya Mama.
 
Huyu akipata hela zake akianza kula bata wanajitokeza washauri wanamuelekeza namna ya kuzitumia,
Natoa amri mtu huyu asishauriwe namna ya kutumia kibunda chake hata akiamua kununua nyani wa milion 20 aachwe
 
Umeona eeeh
 
Apo anaishia kupata asilimia 1% ya mapato yake asilimia 99% wanakula wengine so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…