Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo kwa mob ya akili kubwa aiseeeeJf bwana. Utadhani hawako mitandao mingine
Hili=iliKuna tatizo kubwa sana kwenye kutumia neno ,"nyimbo".Na hata kwenye vyombo vya habari watangazaji wengi wana hili tatizo.
Tujifunze kidogo hapa:
Nyimbo=(wingi wa neno "wimbo").
Unapotaka kuzungumzia wimbo mmoja ukasema "nyimbo hii",utakuwa unafanya kosa kubwa sana la kimuundo kwenye lugha hii adhimu ya kiswahili.
Tutamke hivi hili tuwe sahii:Wimbo huu mzuri sana.AU
"Nyimbo hizi ni nzuri sana"
Ahsanteni sana waswahili wenzangu,kidogo kidogo tutaelewa tu!
Ahsante mkuu,akili ilielemewa kidogo.Uko sahihi kabisa.Hili=ili
Hivi ni kwann bob marley anamuiga lucky dube?Is a half of diamond
I'm an opposite team ila huu wimbo ni mzuri, kuhusu kuiga sioni tatizo coz wanafanya mziki wa aina moja, mbona hujasema lucky dube anamuiga bob marley.
kwanini aige kuimba kiasi hiki!?
Ni kweli sauti kama ya bosi wao, ila wimbo ni mzuri sana.Nyimbo nzuri,
Sauti ameiga,
Ujumbe mzuri,
KabisaNi kweli sauti kama ya bosi wao, ila wimbo ni mzuri sana.
Kuna tatizo kubwa sana kwenye kutumia neno ,"nyimbo".Na hata kwenye vyombo vya habari watangazaji wengi wana hili tatizo.