Samahani lakini wewe she or he?😛hoto:😛hoto:Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu, kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA , BIG UP MAMA LAO.
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu, kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA , BIG UP MAMA LAO.
Samahani lakini wewe she or he?😛hoto:😛hoto:
nawa uso ulale! huna soni!ukisikia wivu wa kijunga ndo huu!eti redi hii ipo?sasa kama si ushamba ni kitu gani kuna redio kwa sasa inayotamba kama hii mpaka utapike ivyo?Kwani hii radio bado ipo dah.
Basi nshapata jibu ulivyorudisha swali tuu.Na wewe je ni me au ke.
ukisikia kujipendekeza ndo huku wenye redio sasa wanakujua?
ukisikia kujipendekeza ndo huku wenye redio sasa wanakujua?
Basi nshapata jibu ulivyorudisha swali tuu.
ukisikia kujipendekeza ndo huku wenye redio sasa wanakujua?
Wachangiaji ndiyo wanachangia vitu ambavyo haviendani na thread. Sidhani kama mtu unaweza kuanzisha thread ili ugombane na mtu.:laugh:Wakati mwingine humu mnaanzisha thread haina kichwa wala miguu, ili mpate sababu za kugombana tu.
Wachangiaji ndiyo wanachangia vitu ambavyo haviendani na thread. Sidhani kama mtu unaweza kuanzisha thread ili ugombane na mtu.:laugh: