Hongera Husna Abdul na Gea Habib

Hongera Husna Abdul na Gea Habib

nsalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
1,189
Reaction score
1,240
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu.

Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA.

BIG UP MAMA LAO.
 
dah! hii radio mpaka nimeanza kuwasahau watangazaji yaani sina mzuka wa kuisikiliza kabisa!!! (MTAZAMO TU)
 
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu, kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA , BIG UP MAMA LAO.
Samahani lakini wewe she or he?😛hoto:😛hoto:
 
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu, kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA , BIG UP MAMA LAO.

Kwani hii radio bado ipo dah.
 
Duh huu mwaka wapili sasa sina mvuto na radio yoyote bongo
 
ukisikia kujipendekeza ndo huku wenye redio sasa wanakujua?
 
Kwani hii radio bado ipo dah.
nawa uso ulale! huna soni!ukisikia wivu wa kijunga ndo huu!eti redi hii ipo?sasa kama si ushamba ni kitu gani kuna redio kwa sasa inayotamba kama hii mpaka utapike ivyo?
 
Hata wewe umejipendekeza kujibu maana mi sikujui. We ndiyo Dina Marios nini maana naona umechomwa mpaka kumoyo. Poleeeee.
ukisikia kujipendekeza ndo huku wenye redio sasa wanakujua?
 
Na wewe unanijua mpaka umejibu? Siyo makosa yako bali unasumbuliwa na ugonjwa wa WIVU SYNDROME. Poleeeee sana.
ukisikia kujipendekeza ndo huku wenye redio sasa wanakujua?
 
ukisikia kujipendekeza ndo huku wenye redio sasa wanakujua?

kama wewe ni ke sio kosa lako hujielewi ikama ni me hutakuwa wali nazi na huko nyuma kunawasha wapeleke wahuni huko wakuinamishe!!!!
 
Wakati mwingine humu mnaanzisha thread haina kichwa wala miguu, ili mpate sababu za kugombana tu.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Wakati mwingine humu mnaanzisha thread haina kichwa wala miguu, ili mpate sababu za kugombana tu.
Wachangiaji ndiyo wanachangia vitu ambavyo haviendani na thread. Sidhani kama mtu unaweza kuanzisha thread ili ugombane na mtu.:laugh:
 
Wachangiaji ndiyo wanachangia vitu ambavyo haviendani na thread. Sidhani kama mtu unaweza kuanzisha thread ili ugombane na mtu.:laugh:

Kweli nsalu, kuna watu humu wamekaa kulumbana tu bila sababu, kuna mmoja alinitusi mi nilijisikia vibaya lakini nikajua nia yake na nikaona upeo wake wa kufikiri umeishia pale, nikampotezea tu
 
Back
Top Bottom