Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu.
Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA.
BIG UP MAMA LAO.
nshalu bila shaka we utakuwa unapenda umbeaa sana vipindi gani vya kuskiliza hivyoowe jinsia gani
nawa uso ulale! huna soni!ukisikia wivu wa kijunga ndo huu!eti redi hii ipo?sasa kama si ushamba ni kitu gani kuna redio kwa sasa inayotamba kama hii mpaka utapike ivyo?
Samahani lakini wewe she or he?😛hoto:😛hoto:
Wewe ni ku au ma?
Wewe ni ku au ma?
Utashangaa dume ndo limeanzisha huu uzi.
Hata wewe B'REAL unapenda sana umbeya ndiyo ukausoma huu uzi. Tena ni mbeya priffessional vinginevyo usingeusoma huu uxi. Lol!