Hongera Husna Abdul na Gea Habib

Hongera Husna Abdul na Gea Habib

nshalu bila shaka we utakuwa unapenda umbeaa sana vipindi gani vya kuskiliza hivyoowe jinsia gani
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu.

Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa Dina Marios kipindi kitadorora sana kumbe wala wadada wanakamua vizuri sana. Big up sana Gea unatukosha sana na HEKA HEKA.

BIG UP MAMA LAO.
 
Hata wewe B'REAL unapenda sana umbeya ndiyo ukausoma huu uzi. Tena ni mbeya priffessional vinginevyo usingeusoma huu uxi. Lol!
nshalu bila shaka we utakuwa unapenda umbeaa sana vipindi gani vya kuskiliza hivyoowe jinsia gani
 
Hii sehemu ya ma intellectual mnavyobishana mnawapa sifa mnao wajadili
 
nawa uso ulale! huna soni!ukisikia wivu wa kijunga ndo huu!eti redi hii ipo?sasa kama si ushamba ni kitu gani kuna redio kwa sasa inayotamba kama hii mpaka utapike ivyo?

Dah hii redio kumbe ipo,kitu ni 93.7 ndio gumzo la mjini kwa sasa.
 
Hata wewe B'REAL unapenda sana umbeya ndiyo ukausoma huu uzi. Tena ni mbeya priffessional vinginevyo usingeusoma huu uxi. Lol!

haya bana mi mgeni wasalimie chuo
 
Back
Top Bottom