Hongera Idris Sultan

Mpelekeeni Mange huu ujumbe auone, nahisi atajipiga vidole kwa hasira.
 
Nacheka tuu mkuu...

Huu ujumbe wa Idrisa inahitaji akili kuuwelewa, lakini watu wameusoma kama hadithi za Shigongo..[emoji23] [emoji23]
watu wameusoma kama idhaa ya kiswahili BBC[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wangeelewa ...
 
Aling'ata na kupuliza kwa pamoja japo mpaka ukae ufikirie alichokiandika ila hongera zake kwa kung'ata
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…