Hongera Idris Sultan

Hongera Idris Sultan

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Ni mtu maarufu pekee kwa wasanii ambae ambae umetoa ya moyoni kuhusu maandamano.
Screenshot_2018-04-25-13-40-09.jpg
 
Inafurahisha sana kuona watu maarufu nao wanaliunga mkono hili jambo
Wakipatikana wasanii kama kumi wakifanya kama alvyofanya idris itasaidia katika mbio zetu za kumtoa nduli madarakani

Viatu vikatike miguu ivunjike kesho tujitahidini tujitokeze kwa wingi
 
Back
Top Bottom