Hongera Jamali Malinzi

Hongera Jamali Malinzi

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Mh. Jamali Malinzi amemtumia salamu za pongezi ndugu Jamali Malinzi kwa kachaguliwa tena kuongoza chama cha soka cha mkoa wa kagera, na kumtakia kila la kher katika majukum hayo pia amemuahidi ushirikiano wa kutosha kutoka TFF.
 
Hapo ongezea maneno haya

" amemtumia salam hizo akiwa mkoan Kagera alikoenda kushiriki uchaguzi wa chama hicho cha soka"

Note: Sijapenda Rais wa TFF kuwa kiongoz wa chama cha soka mkoa, hata kama sheria inaruhusu, hii sio nzuri kiungoz.
 
Mkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zake
 
Hili jinga linaharibu mchezo wa soka Tanzania. Najua mod watanipiga ban kwa kusema ukweli ila huyu mduanzi ataua soka.
 
Hivi zile kesi za kupanga matokeo zimeishia wapi? Au TAKUKURU hawamuoni?
 
A conflict of interest (COI ) is a situation in which a person or
organization is involved in multiple
interests, financial interest, or otherwise, one of which could possibly corrupt the motivation of the individual or organization.
 
Mkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zake
Mkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zake
Mkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zake
Mkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zake
@kanakyomuhaya
 
Hapo ongezea maneno haya

" amemtumia salam hizo akiwa mkoan Kagera alikoenda kushiriki uchaguzi wa chama hicho cha soka"

Note: Sijapenda Rais wa TFF kuwa kiongoz wa chama cha soka mkoa, hata kama sheria inaruhusu, hii sio nzuri kiungoz.
mbona kuna bungeni kuna nyadhifa mbili ata tatu, mfano, spika ni mbunge wa.............
 
Only in Tz ata kama katiba inaruhusu hv hana washauri aibu haoni
 
Back
Top Bottom