Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Mh. Jamali Malinzi amemtumia salamu za pongezi ndugu Jamali Malinzi kwa kachaguliwa tena kuongoza chama cha soka cha mkoa wa kagera, na kumtakia kila la kher katika majukum hayo pia amemuahidi ushirikiano wa kutosha kutoka TFF.