Mkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zakeHapo ongezea maneno haya
" amemtumia salam hizo akiwa mkoan Kagera alikoenda kushiriki uchaguzi wa chama hicho cha soka"
Note: Sijapenda Rais wa TFF kuwa kiongoz wa chama cha soka mkoa, hata kama sheria inaruhusu, hii sio nzuri kiungoz.
Mkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zake

@kanakyomuhayaMkuu kuna watu hawana aibu, na huyu jamaa nakumbuka alipingwa sana wakati anagombea uenyekiti wa TFF, kumbe nadhani wanamjua tabia zake
mbona kuna bungeni kuna nyadhifa mbili ata tatu, mfano, spika ni mbunge wa.............Hapo ongezea maneno haya
" amemtumia salam hizo akiwa mkoan Kagera alikoenda kushiriki uchaguzi wa chama hicho cha soka"
Note: Sijapenda Rais wa TFF kuwa kiongoz wa chama cha soka mkoa, hata kama sheria inaruhusu, hii sio nzuri kiungoz.
halafu watu wengi tulimtegemea kuwa rais bora wa TFF kumbe kituko,hivi sijui ni kwann watu ambao utegemewa kufanya vizuri ugeuka na kuwa vitukoYaaan uyu jamaa naonga ni rais kituko kuliko wote walio wahi pata kuwapo hapo TFF