UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Mkuu, una ushahidi wa huko kukataa kwa Baba wa Taifa? Ebu tuwekee hapa na sisi tujiridhishe. Isije ikawa unampakazia kwa kuwa hayupo na hawezi kujitetea!Baba wa taifa alikataa kabisa, wachaga wasipewe nafasi ya uraisi.
Bola mzee Magu ukizingua anakutimua uende Canada au Ubelgiji,mama anakukong'ota na huendi mahali"mmanina".
Nakupa miezi kadhaa, utapata pigo na unaweza kwenda gerezani.Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo
Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama
Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi
Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .
Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
🤣🤣🤣😁😁😁🤣😁😁Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo
Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama
Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi
Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .
Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Maisha haya acha tu.Ni kweli, aliwatimua, kuwauwa na kuwamiminia risasi, lakini alishindwa kutumia madaraka hayo hayo kujiepusha na kifo kilichomkuta akiwa nayo. Haonekani.. haonekani,, tukaweka matanga. Maisha ni hadithi mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😆😆😆😆😂😂😂Una Katwa na mizimu, empty pumpkin head.
Ujumbe umfikie Erythrocyte 😎...Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku ....
Hiki ndo cha kujivunia. Ila siku wakiamua watoke hadharani, haitapendeza. Naipenda nchi yangu TanzaniaUnataman nawe ?
Majina yenu feki hapa wapumbavu
Keyboard Warriors
Nguvu ya Umma iko wap watanzania wapo bize kutafuta maisha yao
Mshahara Tshs 450,000 take home 350,000.00 ndo maana mna hasira sana kwa raia wema. Mnalamba matako ya watawala, mnaishi nyumba za maboxi, ndo maana zamani mlikuwa mnaongoza kwa ujambazi baada ya JPM kuingia mkaweka silaha chini. Nchi ikatulia mpaka leo hakuna bus kutekwa.Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo
Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama
Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi
Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .
Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Ha ha ha haBola mzee Magu ukizingua anakutimua uende Canada au Ubelgiji,mama anakukong'ota na huendi mahali"mmanina".
We Mkunazi Dove huishi AfrikaHa ha ha ha
Sawa! Tutawasisitiza keyboard warriors wawe wanasifia tu! Na tutahakikisha wanaelewa kila baada ya sentensi wamtaje mama SAMIA na kumpa sifa kede kede kwa maendelea nchini, kusimamia haki ya kila raia, kutupa katiba mpya, kupinga ufisadi, wizi wa rasilimali na maliasili na kutumia hela zake kufanya hayo yote na siyo kwa hela ya raia mlipa kodi!Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo