Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.
Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.
Tanzanian president Jakaya Kikwete has commissioned into service two new warships supplied by China’s Poly Technologies. The vessels, TNS Mwitongo (P77) and TNS Msoga (P78), were commissioned on April 28 at Kigamboni Command’s base in Dar es Salaam. Kikwete said strengthening the navy’s...
www.defenceweb.co.za