Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Kijeshi kenya hawafikii hata nusu ya Tanzania,,,,, Jeshi la Tanzania likiingia frontline na Alshabaab within 3months Alshabaab wanafutwa kwenye uso wa dunia,,, Kenya wanakwama wapi,,, Uliza inshu ya Kibiti ikivyomalizwa kimedani
 
Tanzania hata ikitokea terroristic attach haiwezi kuwa kama ya westgate., Magaidi mpaka wana sali na sala katikati ya event,, Tanzania wangekamatwa wooote kabla hata hawajatoka dar,, mpaka vijukuu na vitukuu vyao vingehojiwa
 
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.
Hakuna jeshi hapo kuna wavuvi tu
Kuopoa Toyota corolla tu imechukua mwezi,tena familia imelipa kupata huduma hiyo
 
Back
Top Bottom