Have they wiped Alshaabab in Somalia? If no why boasting? TPDF wiped M23 and their alies in DRC hadi mkuu wao akaenda kujisalimisha kwa bwana wake Kagame huko Rwanda, TPDF waliwafanyia kitu mbaya RENAMO huko Mozambique hadi wakasalimu amri.
Ni Tanzania pekee ambayo makaburu enzi zile hawakuweza kuvuka na kuingia katika ukanda wote wa Kusini mwa Afrika pamoja na makaburu kujua kuwa kambi za wapiganaji wa ANC, SACP na SWAPO. Hata Wareno walijpokuwa wanatawala Mozambique. FRELIMO
walipokuwa wakipambana na wapigania uhuru, Wareno walipokuwa wakiwafurusha, jeshi la FRELIMO lilikuwa linakimbilia Tanzania, Wareno walikuwa wanaishia mto Ruvuma na kurudi Msumbiji.
Vv