Mazoezi Ya UtayariIlikuwa wapi hii wakati wa uokoaji?
Ilikuwa wapi hii wakati wa uokoaji?
Umeulizwa swali la msingi sana ingekua vema ungelijibu kwanza.Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Jibu swali jomba.Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Jibu swali jomba.
Swali zuri sana mkuu.Ilikuwa wapi hii wakati wa uokoaji?
Wamalizane na wasomali kwanza kuziilisha ubora wao.Kenya navy is the biggest and the best equiped navy from cape to Cairo hapo hakuna ubishi.
Vita yenu na wasomali imeishia wapi?Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.
Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.
Tanzanian navy commissions new vessels - defenceWeb
Tanzanian president Jakaya Kikwete has commissioned into service two new warships supplied by China’s Poly Technologies. The vessels, TNS Mwitongo (P77) and TNS Msoga (P78), were commissioned on April 28 at Kigamboni Command’s base in Dar es Salaam. Kikwete said strengthening the navy’s...www.defenceweb.co.za
It is very ironic to have such a superb navy. It took them days to salvage a single vehicle with 2 pax that was drowned less the 2 km from the seashore!Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.
KNS Shujaa and Shupavu r second hand ships from Spain that for number of times had to be refitted with wepons after purchase!Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.