Ni furaha iliyoje kukutana live na member mnayekutana jukwaani? charminglady Elizabeth Dominic Rock City ram Home First na mzee GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.
Wakuu j.2 nakuja Mwanza, nimepangiwa huko kimajukumu ya ofisi. Naombeni muongozo na full address ya jiji, maana raha ya Muji upate wenyeji. Kikao wapi next time??
fanya ufanyavyo ila usimzoee charminglady please, Elizabeth Dominic sawa ila ex wangu mwiko

Natamani ningekuwa raia wa Jiji la Mawe, sasa hivi ningekuwa nakutana na mabest wa ukweeh.
Wadau wenza mie ni mwenzenu hasaa! Mwanang'wanza! Na nilipania sana! Hili kutano lisinipige kanzu, lakini mkamia minze, malenga, amaizi ! Kinachompataga mwakijua!
Tarehe 1 imenipata away of my permanent cirry!
Btw not bad azma ninayo, namuomba muwezeshaji anibarakishe niwepo next meetin!
Wakuu j.2 nakuja Mwanza, nimepangiwa huko kimajukumu ya ofisi. Naombeni muongozo na full address ya jiji, maana raha ya Muji upate wenyeji. Kikao wapi next time??
fanya ufanyavyo ila usimzoee charminglady please, Elizabeth Dominic sawa ila ex wangu mwiko
[/QUOTE]Thanks Arushaone, God is gud, hatimaye tumekutana, tunategemea ushauri wa ukweli kutoka pande hizo QUOTE=Arushaone;6259202]Ni furaha iliyoje
kukutana live na member mnayekutana jukwaani?
charminglady Elizabeth
Dominic Rock City
ram Home First na mzee
GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.
Mmekutana wapi mi nipo mwanza pia.